Mkuu wa Wilaya ya Kiteto Mh Mbaraka Batenga (katikati) akizungumza na wadau mbalimbali waliohudhuria uzinduzi huo. Serikali imeahidi kushirikiana na shirika letu kuhakikisha unafikia maono yake.